Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

The beautiful Harley Deen. Mara ya kwanza kumuona mpaka roho iliniuma yaani. Such a beautiful and innocent looking girl. Hata sijui ni nini kinawafanya kuingia kwenye hii kazi ya laana.

Halafu kuna kasheshe moja hiyo amekamatwa na mshenzi Rico Strong wakati ule hajanenepeana. Kipigo cha mbwa koko yaani mpaka unamhurumia.

Taavid upo?
naam Harley Dean, naona alikuwa kimya mda kidogo! Mwaka jana alikuja na tuhuma za Rihanna kuhusu kumpa Chlamydia moja wa maboss zake huko nyuma. Guys in this industry wanakula vinono sana!
Screenshot_20221127-082256.jpg
 
5 years old son. after reading story of a king...

Son: Mom I also want 3 wives...one will cook, one will sing, one will bathe me....

Mom: And which one will put you to sleep

Son: No mom, I will still sleep with you...

Mom's eyes filled up with tears. God bless you son

Mom: but who will sleep with your 3 wives
.
Son: Let them sleep with daddy..

Daddy's eyes filled up with tears... God bless you son!
 
Smokers wako romantic ila
Ila ni wale smart smokers

Achana na kina mzabzab wanamoke bila kula
Pia wana amani sana. Ndiyo maana marastafari hawana shida na mtu yaani.

We ulishawahi kujaribu? Wanasema mwanamke akipuliza halafu asukumizie na red wine halafu ale ashibe basi mwanaume inabidi ujipange na kama hauko vizuri kimbia tu asubuhi na mapema!
 
Mungu watie nguvu hawa madoctor. Miaka 7 halafu mwaka wa mwisho unakutana na hichi.Daah! Since 2015.
Sijui utaenda kusema nini nyumbani wakueleweView attachment 2428926
Hii profession siyo ya kubahatisha. Acha wadisko kama hawajiwezi maana wangekuja huku kutuua! Tunayoyaona huku tayari yanatisha anyway!
 
Back
Top Bottom