Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

THE GOOD SIDE OF SADDAM HUSSEIN—MBONA WAZUNGU HAWASEMI KUHUSU HILI!?
#UZI
Ashukuriwe yule aliyeniumba “Binadamu”, kwasababu laiti kama Ningeumbwa “Mkonge”,
KATU
Nisingekubali Nivunwe,na kisha nyuzi-nyuzi zangu eti zikatumike kuinyonga shingo ya Saddam Hussein, NISINGEKUBALIView attachment 2428218
Wamarekani waonevu sana. Walimuua huyu jamaa bila sababu. Na Gaddafi.
Screenshot_20221126-231517_Chrome.jpg
 
"Nilikuwa naamini kabisa kwamba, Said Mbelwa nitampiga kwa mambo matatu cha kwanza mgonjwa, cha pili ni mzee na cha tatu ni mlevi"

"Na ndicho kimechotokea, amekutana na ‘NDOIGE' nimepiga tu chali na hiyo ndio maana ya ngumi yangu pia Bondia yoyote atakaye yakanyaga atakutana na NDOIGE kutoka kwangu"

Karim Mandonga - BondiaView attachment 2428122
Screenshot_20221126-083340_Instagram.jpg
 
Hebu tuone waenda motoni
View attachment 2427577
The beautiful Harley Deen. Mara ya kwanza kumuona mpaka roho iliniuma yaani. Such a beautiful and innocent looking girl. Hata sijui ni nini kinawafanya kuingia kwenye hii kazi ya laana.

Halafu kuna kasheshe moja hiyo amekamatwa na mshenzi Rico Strong wakati ule hajanenepeana. Kipigo cha mbwa koko yaani mpaka unamhurumia.

Taavid upo?
 
Back
Top Bottom