Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Mkuu, kesho ndio "Last Seen/Comment" yangu humu jamiiforums. Tutaonana tena October 2024 (Miezi 23 kutoka mwezi huu).

Ninaangalia kwenye fursa nyingine ya pesa. Kwa bahati mbaya kwenye stories of change nimeangukia pua.

MAWASILIANO YANGU
===
Halotel - 0621 512 203 - Call/SMS

Tigo - 0654 527 779 - Call/SMS/Whatsapp
===

I wish you all the best.
Hutoboi huo muda! Jf is under ur skeeeeeeen! Ni kilevi kama vilevi vingine! Assume una smart4n alafu una surf! Labda uhamie chaputa pornhub au facebook[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji89]
 
Asante sana mkuu. Mungu Akubariki na kukulinda huko uendako. Akipenda yes tutagongana tena hapa.

Kuhusu Stories of Change naona mwaka huu wamejikita zaidi kwa wavumbuzi na wenye mawazo yenye mtazamo huo. Ingependeza sana kama wangekuwa wanatoa theme ya shindano hili kila mwaka ili watu wajikite huko kwenye theme wanayoitaka wao. Mwaka kesho jaribu tena!

Stay blessed brother [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Good idea! [emoji471] Shinda hata hilo kombe
 
Ana matumbo manne kama ya mbuzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hao wanakomoaga unashangaa anaenda bia 15 tena safari unajiuliza anaishi nazo vipi tumboni, kumbe wao ni msalani kwenda kujitapisha na akirudi anaagiza mbili
Sasa dawa yao imepatikana [emoji28] ni mwendo wa kupita hivi tu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa dawa yao imepatikana [emoji28] ni mwendo wa kupita hivi tu..

Sent using Jamii Forums mobile app
Tutaelewana tu[emoji16][emoji16][emoji41]
biker-and-girl(1).gif
 
Back
Top Bottom