Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Mha orijino!
Hapa anajigawanyaje wanakua wawili?Kikeke huyo
Kupatwa kwa njaa
Duh jua kali sanaDar es laamu mwezi wa tano mwaka huu na mwezi wa 11mwaka huuView attachment 2420361View attachment 2420362View attachment 2420363
Hawa jamaa hua nawafuatilia ni wanachekesha kuliko hawa wanaume wanao vaa manyonyo na hipsi kama wanawake ili wachekeshe! Kuna watu wana act na unafurahia ila hapa kwetu njaa zinawaponza mwisho wana act ku act, hivi kwanini utumie nguvu kuchekesha!!?
Hawa wako mapacha mkuuu.Hebu nitoeni ushamba, huyu ni mtu mmoja au ni watu wawili tofauti View attachment 2420325
Unakuta mtu kajireemba ukienda kummanua unakutana na harufu hata BUDEGE za PUGU zina subiri! Ushawahi kukaa kwnye foleni ukawa unakula AC taratiiiibu alafu foleni inajichekecha, gari ya taka inakuja kukaa mbele yako[emoji36] au kirikuu imebeba kuku broiler inawapeleka sokoni, au mfuso umetoka mkoa umebeba kitimoto inakuja kukaaa mbele yako, mh! Ndio mabalaa ya hao viumbe wanaojiremba kupita maelezoWanawake poleni. Hapo umejisiriba mamekapu nusu ndoo. Kichwani nako wigi linawasha linanuka...bado kope na kucha za bandia...yote kwa ajili ya kumvutia mwanaume. Kazi sana yaani!
View attachment 2420275
Kesha olewa au bado!!Watu bwana [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2420283
Hawa! Mmh! Bora ukajiokotee ki dege jinga au kikuku cha kienyeji shamba! Samaki wabichi wanasubiri[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2420285
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1782]Trash [emoji706][emoji706][emoji706]
View attachment 2420286
Br leo mbona umewaamulia!Not cool [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 2420290
Hivyo vidole mtihani! Na bado utakuta katia mikucha ya bandia vidole vinakua kama vya bundi
Bila kujilemba hatutoboi[emoji16]Unakuta mtu kajireemba ukienda kummanua unakutana na harufu hata BUDEGE za PUGU zina subiri! Ushawahi kukaa kwnye foleni ukawa unakula AC taratiiiibu alafu foleni inajichekecha, gari ya taka inakuja kukaa mbele yako[emoji36] au kirikuu imebeba kuku broiler inawapeleka sokoni, au mfuso umetoka mkoa umebeba kitimoto inakuja kukaaa mbele yako, mh! Ndio mabalaa ya hao viumbe wanaojiremba kupita maelezo
Bado unanyonya????Dah jamani watoto wetu wa kike kweli watapona....aisee bora mtoto wangu wa kike nimkule mwenye lakini sio kwenda kuliwa kwa aftatu[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]