Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

giphy.gif
 
Kona kali....hii midude raha ila sasa likikata waya huko juu inakuwa maweee!
View attachment 2420817
Mkuu, kesho ndio "Last Seen/Comment" yangu humu jamiiforums. Tutaonana tena October 2024 (Miezi 23 kutoka mwezi huu).

Ninaangalia kwenye fursa nyingine ya pesa. Kwa bahati mbaya kwenye stories of change nimeangukia pua.

MAWASILIANO YANGU
===
Halotel - 0621 512 203 - Call/SMS

Tigo - 0654 527 779 - Call/SMS/Whatsapp
===

I wish you all the best.
 
Asante sana mkuu. Mungu Akubariki na kukulinda huko uendako. Akipenda yes tutagongana tena hapa.

Kuhusu Stories of Change naona mwaka huu wamejikita zaidi kwa wavumbuzi na wenye mawazo yenye mtazamo huo. Ingependeza sana kama wangekuwa wanatoa theme ya shindano hili kila mwaka ili watu wajikite huko kwenye theme wanayoitaka wao. Mwaka kesho jaribu tena!

Stay blessed brother
 
Back
Top Bottom