McRiyckeel
JF-Expert Member
- Jun 21, 2017
- 2,128
- 12,638
Huku wana wanaposti maisha mazuri tu...ila kwa ground Mungu ndo anajua
Huku wana wanaposti maisha mazuri tu...ila kwa ground Mungu ndo anajua
Aah wap, wengine hatunaga hizo yaan bae anipe mihela nianze ngonjera haipo hiyo.Wanawake wapo hivi, ukiwa huna pesa watalalamika, na ukiwapa pesa wanakuja na zile story “Unadhani mie kwako nimefuata pesa? Nahitaji muda na upendo wako” Lesson: Hawaridhiki hawa
[emoji23][emoji23] hivi vitu wanawake ndo wanavovitaka na kuvipenda muda wote uwasifie
Daaah kitambo Sana kichochoro kipo pembeni hapoKuna kichochoro pale kushoto unatokea main road kule upande wa pili[emoji16][emoji16]View attachment 2418336
Kuna mmoja anauza matofali asa anapiga picha na filter yani...