Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Sijui anaimba wimbo gani [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Ha! Sio mzoga huo
Comment[emoji41]
Mbona tutakoma! Sio kwa mpuyango huo!
Eh! Anakuja kuzaliwa mtoto na huelewi anafanana na nani, unaenda kwenye DNA unaambiwa ni wako huku akili haitaki kukubali[emoji41] ndio utaamini uchawi kweli upo[emoji15][emoji15][emoji15]
View attachment 2418682
[emoji1787][emoji1787]Nani kama mama? [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2418691
Dah! Mwaka wetu huu! Tuwe wavumilivu tu jamani kama kile kipindi chao cha manji
Ww mzee ujui yolly yolly[emoji7] nimemfungia GPS [emoji23][emoji23]#KuchapiwaHakuepukiki
Hata Yolly Yolly mwangalie sana maana mabaharia siyo watu wazuri!
Haitasaidia cho chote akiamua! [emoji16][emoji16][emoji16]Ww mzee ujui yolly yolly[emoji7] nimemfungia GPS [emoji23][emoji23]