TimeOut
JF-Expert Member
- Sep 20, 2022
- 3,892
- 8,485
Duh! Hata kamera ya i4n hai zoom ivyo
Duh! Hata kamera ya i4n hai zoom ivyo
Hujambo?Nimewamisi humu ndani[emoji3059]
Wazima nyote?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] noma sanaUkiingia kwenye anga za manabii na mitume utaambiwa ukavunje kwanza hayo maagano ya utotoni ndo uje tukuwowe!
Kwema lakini?
Yaani hawa wanaongea na rais wamekunja nne
She??iPhone 14 ProMax....[emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 2415291
[emoji1787][emoji1787]
Ulikuwa wapi mchuchuNimewamisi humu ndani[emoji3059]
Wazima nyote?