Iyo
Hii baa iko wapi
Ukiingia kwenye anga za manabii na mitume utaambiwa ukavunje kwanza hayo maagano ya utotoni ndo uje tukuwowe!kumbe mi mke wa mtu na sijijui
Ule mlango huwezi kuuvunja kwa kasia...Mlango ulivunjwa, haukufunguliwa!
Hatuna shida na mtu sisi mnatuoneaga tu. Sisi tupate tu ugali mchezo kwisha!
Kawaida ya wanasiasa!Huyu ndugu kaja kubadilika ghafla mpaka hafai tena
Siyo nyuki hawa wa kwetu huku Afrika. Nyuki wa kwao huko wako docile hata wakikuuma hawana sumu.