The Dictator
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 4,416
- 12,095
Hakuna kisingizio tena kuhusu choo cha kukaa😂😂
Kama ulishawahi tumia vyoo vya kukaa utakubaliana na mimi, vyoo vya kukaa haviko poa mda wa kujisafisha utapata tabu, vya sink la kawaida la kuchuchumaa ndio poa.Hakuna kisingizio tena kuhusu choo cha kukaa[emoji23][emoji23]
View attachment 2415417
Zamani nilikuwa nawaza ‘ hata sasa hivi bado sijaacha kihivyo…Kama ulishawahi tumia vyoo vya kukaa utakubaliana na mimi, vyoo vya kukaa haviko poa mda wa kujisafisha utapata tabu, vya sink la kawaida la kuchuchumaa ndio poa.
😀😀😀😀 unajiona eeh
Najiona venye niko mbioni ku cancel subscription ya 🍎 music😀😀😀😀 unajiona eeh
Nimeikubali