TimeOut
JF-Expert Member
- Sep 20, 2022
- 3,892
- 8,485
Mabaaria wameruka nae kama njiwa[emoji16][emoji1787][emoji1787]Mabaharia bana [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2412882
Mabaaria wameruka nae kama njiwa[emoji16][emoji1787][emoji1787]Mabaharia bana [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2412882
Ukianza kusikia harufu ya mishkaki ujue umeiva[emoji849] au bosheni[emoji15][emoji15][emoji15]
View attachment 2412886
Yale yale ya askofu
Mhanga mzoefu[emoji23]
View attachment 2413219
Apewe kiwanja na nyumba bukoba na bodaboda ya kufukuzia ndege maana najaliwa mara ya mwisho nimemuona bungeni dodoma
Kwema sana mkuu. Sasahivi itakuwa ikitokea janga watu wanashughulika kwelikweli [emoji16][emoji16]Nimeanza kutembelea kando kando ya ziwa Victoria karibia na uwanja wa ndege wa mwanza
Kwema lakini mkuu
Huyu ndugu kaja kubadilika ghafla mpaka hafai tena
Introverts wana safari ngum sana kwenye mapenz[emoji2960]. Sababu ya kushindwa kuflirt tunajikuta tunakuwa na watu ambao sio machaguo yetuTotally me!
Mlango ulivunjwa, haukufunguliwa!Wamuache shujaa wetu Majaliwa maana figisu zimeanza na mjadala soon si ajabu utahamia kwa hawa air hostess.
View attachment 2413985
Manyaunyau ange kunywa damu yake mpaka akaibakiza kiporo
Jamaa anatembeza libolo tuu sasa
[emoji16][emoji16][emoji16]huyo anafia hukohuko juuWasukuma kwa mara nyingine tenaView attachment 2414781