Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,379
Umemuvoni kwenda wapi?Waaaooh ngosha huyoulienda wapi bwana mwenzio nimekumiss hadi nimemuvu oni
Nipo kipenzi ni misukosuko tu ilinizidia ila nipo. Asante kwa kunimisi

Umemuvoni kwenda wapi?Waaaooh ngosha huyoulienda wapi bwana mwenzio nimekumiss hadi nimemuvu oni

Hata sijui naenda wapiUmemuvoni kwenda wapi?
Nipo kipenzi ni misukosuko tu ilinizidia ila nipo. Asante kwa kunimisi![]()
Karibu Misungwi.Hata sijui naenda wapi
Karibu nafurahi kukuona tena
Daaah abdallah alicheza hapa huyu bidada ampe hata kazawadiDulla kama DullaView attachment 2413812
Mtoto wa 4?Dulla kama DullaView attachment 2413812
Kabisa mzee, ka' mconnect kwa waziri kabisaDaaah abdallah alicheza hapa huyu bidada ampe hata kazawadi
Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app
Njombe naenda siku za karibuniKaribu Misungwi.
Au uko Njombe?
Pesa haizeeshiMtoto wa 4?
Umejitahidi sana...
...and you still look super hot!
Panda mabasi ya Dar - Mwanza - Misungwi.Njombe naenda siku za karibuni
Nielekeze jinsi ya kufika huko Misungwi
Nimeipenda hii...Dulla kama DullaView attachment 2413812





