Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Tumwelewe nini? Huwezi kukuza uchumi kwa kupandisha kodi na kurundikia watu tozo hasa kama kinachokusanywa hakiingizwi katika mzunguko wa uchumi au kufanyiwa shughuli zenye tija.
Huyo naye hajitambuiTumwelewe nini? Huwezi kukuza uchumi kwa kupandisha kodi na kurundikia watu tozo hasa kama kinachokusanywa hakiingizwi katika mzunguko wa uchumi au kufanyiwa shughuli zenye tija.
View attachment 2414004
Beijing Karatu
Imebidi nikagugu, hii dunia ina maajabu
Hili bus nimepanda sana sijui lilienda wapi.ZilipendwaView attachment 2413921
Shigongo itakuwa kapata kibakuli cha asali[emoji16][emoji16]Tumwelewe nini? Huwezi kukuza uchumi kwa kupandisha kodi na kurundikia watu tozo hasa kama kinachokusanywa hakiingizwi katika mzunguko wa uchumi au kufanyiwa shughuli zenye tija.
View attachment 2414004
[emoji16][emoji16][emoji16]
Mama mkwe mkorofi
Wanasaka tonge na kutusambazia utelezi. Wabarikiwe sana hawa watu bila wao wanaume tungekuwa tunakufa mapema sana🤣🤣🤣🤣
Route yake kuu ilikuwa dar-swanga dar-mbeya na songeaHili bus nimepanda sana sijui lilienda wapi.
[emoji16][emoji16]tutaanza kuokoa watu kabla hata haijaanguka
Nimeanza kutembelea kando kando ya ziwa Victoria karibia na uwanja wa ndege wa mwanza[emoji16][emoji16]tutaanza kuokoa watu kabla hata haijaanguka