Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

,
FB_IMG_16676010476526901.jpg
 
Kuna antena zinanasa signals kwa haraka sana


Image
Ndomaana watu wanahimizwa wazifanyie haraka ndoa (yaani mtu akisema anataka kuoa basi process zake zifanywe harakaharaka asizungushwe zungushwe)

Ndoa za siku hizi ni shida unakuta umetangaza kuoa hayo maandalizi yenyewe mpaka kijana anataka kukata tamaa halafu ikifika siku ya ndoa yenyewe nayo unakuta mambo kibao unakuta mkusanyiko kuanzia asubuhi mpaka saa 6 usiku ndo watu wanatawanyika wakati ilikuwa ni ishu ya dakika chache tu

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom