mwakyindi
JF-Expert Member
- May 7, 2018
- 1,627
- 2,212
daah ndy changamoto ya kuto kufanya mpaka muoane jamaa gar limeisha waka boxer imechafukaKuna antena zinanasa signals kwa haraka sana
![]()
daah ndy changamoto ya kuto kufanya mpaka muoane jamaa gar limeisha waka boxer imechafukaKuna antena zinanasa signals kwa haraka sana
![]()
Mchuma janga hula na nduguze! Kama hali yako hairuhusu uliwezaje kudate nao wote maana ni gharama na ndio gharama hizo hizo unahitajika kuendelea nazo hakijabadilika kituKutoka SHUJAAZ
Dahh.. hii ni ngumu sana.. omba yasikukute. Una ushauri gani kwa mdau?
"Mimi ni kijana wa miaka 25 nimepata changamoto, naomba ushauri kwa wadau kwa changamoto yangu hii iliyonikuta. Pengine pia inaweza ikamkuta kijana mwingine yeyote yule.
Ipo hivi, nilikuwa na mahusiano na wasichana wa tatu kwa wakati mmoja, wote walikua wakinipenda bila wao kujuana. Na kila mmoja yupo sehemu yake, nami pia nilikua nikionyesha mapenzi kwa kila mmoja.
Siku zilienda hatimae sasa bila kutarajia nimejikuta wote watatu nimewapatia ujauzito, na mimi hilo halikuwa kusudio langu.
Ila ndio tayari imeshatokea na kila mmoja anataka nimuoe yaani niishi nae tulee mimba. Mimi kulingana na maisha yangu, nikiangalia bado sijiwezi na sijajipanga.
Nashidwa nifanyeje nimejaribu kuwashawishi kila mmoja angalau watoe, ili nibaki hata na mmoja, lakini wamekataa. Mpaka sasa niko njia panda najiuliza nifanye nini maana nahisi nimejichanganya na sina uwezo wa kuwaoa wote.
Msaada wadau.. naombeni ushauri wenu".
#NyumaYaPazia
![]()