Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vijana wana hatari
311041568_3586278258322852_4950097877648193901_n.jpg
 
Hapo inategemea mkono upi ndio unatumia mara kwa mara na una control nao nzuri[emoji16][emoji16]

Japo nilimsikia katibu anasema by default ni mkono wa kulia, huo mkono wa kushoto ni endapo unaamua kuswitch kwenda sim2 [emoji16][emoji16]
Ndiyo ile kwamba kama unatumia mkono wa kushoto kupigia nieto siku ukitumia wa kulia unajiona kama umechepuka.
 
Back
Top Bottom