McRiyckeel
JF-Expert Member
- Jun 21, 2017
- 2,128
- 12,638
Haki za viumbe hai hazizingatiwi[emoji23][emoji23]kinatoa mpaka chozi kijinga icho
Mzee wangu hizo story tu za vijiweni[emoji16][emoji16][emoji16]. Kama wapo kweli nahisi wanaume wote tungekuwa peponi muda huuIna maana hakuna mabikra 72 tena wasiomaliza ubikra?
Ina maana ni kusifu na kuabudu tu 24/7 milele na milele? [emoji15][emoji15][emoji15]
Mbona mimi nilifaulu tena on the first trial? [emoji16][emoji16]Ni ngumu sana aisee, kila somo lina vifungu vyake na case zake,.balaa
Pengine yeye alijiwahi mapema pale mwanzo mwanzo akapiga hela za kutosha. Nilimuona mahali akisema kuwa aliingia tangu June so bila shaka hajatapeliwa. Akili mtu wangu....@lyenyi popote ulipo nakusalimia kwa jina la kalynda[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji3064][emoji1787] halafu hiyo pesa mliyokusanya mkaamua kuizungusha[emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 2383756