Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Screenshot_20221010-200641.jpg
 
Alafu huu ni uwongo. Nyeto tunapigaga na mkono wa kushoto bwana sio wa kulia
Hapo inategemea mkono upi ndio unatumia mara kwa mara na una control nao nzuri[emoji16][emoji16]

Japo nilimsikia katibu anasema by default ni mkono wa kulia, huo mkono wa kushoto ni endapo unaamua kuswitch kwenda sim2 [emoji16][emoji16]
 
Pengine yeye alijiwahi mapema pale mwanzo mwanzo akapiga hela za kutosha. Nilimuona mahali akisema kuwa aliingia tangu June so bila shaka hajatapeliwa. Akili mtu wangu....

Kwenye hizi pyramid schemes ingia mapema uwe huko juu. Ukisubiri mpaka mzunguko wa pesa umekuwa mkubwa pyramid inaelemewa inaporomoka jamaa wanasepa mnabakia kulalamika tu [emoji16][emoji16][emoji16]
Huyo l@liyenyi itakuwa kaliwa tu[emoji16]

Maana aliwaamini hao balaa na alikuwa ni mmoja wa member wa hiyo[emoji23][emoji16], sijui sahizi ningekuwa nalia kilio ganj[emoji16]
 
Back
Top Bottom