Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Huyo jamaa ni bure kabisa, bila shaka ataendelea kundinywa mpk anaingia kaburini maana hatokuwa na hela ya service wala mafuta pia!Imagine Kuna kabinti huko mtaani kana jitapa kuwa kana boyfriend wake na boy mwenyewe ndo kama huyu[emoji16][emoji16]View attachment 2379094View attachment 2379095
[emoji23][emoji23]
Amini mkuuu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]Huyo jamaa ni bure kabisa, bila shaka ataendelea kundinywa mpk anaingia kaburini maana hatokuwa na hela ya service wala mafuta pia!
[emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji38][emoji298]
😂😂😂Kuna mama wa Kisomali hapa kasema hayo maziwa ya kakakuona anayo. Kesho ndo naenda kumuona. Vita ni vita mura ohoo!
😂😂😂😂Kalenda tena
hii ligi simchezo![]()
Sent from my Huawei mate 9
X=100 degree, nimekumbuka mbali da!