Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,826
- 11,647
Buguruni kuna baa nyingi sana,lakini kwa nini baa ya SEWA na KIMBOKA ni maarufu sana kuliko baa zote za buguruni?............
Hapo alcohol imeshapiga mahala pake, sasa unakagua chupa kujua ina alcohol asilimia ngapi!Buguruni kuna baa nyingi sana,lakini kwa nini baa ya SEWA na KIMBOKA ni maarufu sana kuliko baa zote za buguruni?............
Ukipewa milioni 800 unaweza nunua gari zote hizo?Milioni mia nane zikiwa zimeenda kukagua milioni mia mojaView attachment 2372066
Hii editing Kwa jicho la kijasusi
Ni kweli, ila tunawakumbusha tuHii editing Kwa jicho la kijasusi