Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Povu!
Hata akiua mtu haisaidii kitu. Shamba boy keshamaliza mchezo!Boss lazima aue mtu hapo
Safi sana kijana. Itakuwa wadada walisimulia kuwa jamaa anajua kugegeda. Sasa katika kujaribu jaribu ndio ikawa hivyo 🤣🤣🤣🤣
Hii hali nilikuwa nakutana nayo Iringa, kuna ka kipindi fulani ikifika saa 12 hapo mpaka saa moja jioni kama hujabook chumba mapema basi imekula kwako maana guest zote za town utakuta zimejaa[emoji16]Wikiendi ishaanza...
View attachment 2373147
Rejea post ya kwanza tulipoanzia, uliwananga walemavu kuwa wanaomba omba! Ndio nikakujibu hivyo usitoke kwenye mada, uungwana waombe radhi walemavu unatumia ulemavu wao kudhalilishiaSoma Tena comment yangu kama Kuna neno mlemavu. Nimesema wewe ni mdada mweupe na unaombaomba sana pesa Kwa wanaume ndiyo maana umekasirika kwenye hicho kituko.
Huyo ni pweza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2368602
Siyo Kajala kweli huyu kapelekwa ukweni Umakondeni. Utakuta pengine ni samaki nchanga [emoji16][emoji16][emoji16]Anapika makande itakua View attachment 2368604
Super Duper [emoji23]Hata apandishe bei mara 40 mi lazima anibebe [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2373342