whiteskunk
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 3,928
- 9,437
Duuh!
Kwa ubishi wa binadamu wa siku hizi, zinaisha hizo...Duuh!
Hapo kuna mtu ataelemewa soon😁
Maini ya akina Massawe na Mushi yana kazi wallahi 😁😁🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️
Mkuu ushindwe...Leo na kesho ushindweee!!! 😁😁😁One of the Old joke. Wasukuma wameenda stendi kutafuta usafiri wa Dar, wakala akawaambia “Ipo Luck star” jina la basi. Wasukuma kumbe wamesikia Laki sita, wakasema wao wana laki 3 Wakanyooshwaa
Hawa jamaa wezi. Mi sikubaligi! 🚮🚮🚮
Aaa wapi. Ukishashusha mzigo ni majuto tu na kujilaumu 🚮🚮🚮Huo mzigo unamwaga ubongoooo
Kafumaniwa huyu...
Huyu boya atumie huu umaarufu wa muda kujipatia vijisenti na avitunze vizuri vinginevyo atakuja kuumia halafu asiwe na cho chote. Brain damage is no joke!
Kwa nini unajilaumu tena wakati umepata bonge la burudaniAaa wapi. Ukishashusha mzigo ni majuto tu na kujilaumu 🚮🚮🚮