Kaunguza samaki pekee waliobaki kwa friji 🤣
Aweee 🤣🤣👌
Kaangusha tray mbili za mayai na mtindi...Kaunguza samaki pekee waliobaki kwa friji 🤣
Niko napuliza moto nibanike samaki 😛
Huo mzigo unamwaga ubongooooHalloo..
Huo mzigo siyo mchezo.. mzabzab
Siyo Kwa mbuno huyo....Niko napuliza moto nibanike samaki 😛
🤣🤣🤣🤣 kapewa ruhusa ya kwenda manicure kachelewa kurudiKaangusha tray mbili za mayai na mtindi...
Kakatazwa kwenda gym fulani...🤣🤣🤣🤣 kapewa ruhusa ya kwenda manicure kachelewa kurudi
😂😂😂 au kaanza yale matatizo yao ya wanawake?Kakatazwa kwenda gym fulani...
Ndiyo anaomba msamaha baada ya kufokewa...😂😂😂 au kaanza yale matatizo yao ya wanawake?
Heee ina maana hajui kususaNdiyo anaomba msamaha baada ya kufokewa...
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...Heee ina maana hajui kususa
Ye asuse tu
Atasamehewa automatically