



🛺
🥹
Bifu za kawaida kwenye sayansi na uvumbuzi huko. Dhuluma kila mahali. Wengine wamedhulumiana mpaka tafiti na inventions zilizopelekea kupata Nobel Prize. Kama hawa jamaa waliogundua Double Helix ya DNA (Watson na Crick) kuna mwanasayansi wa kike hawakumtaja kabisa japo utafiti wake ulichangia sana kwenye uvumbuzi wao na wengi wanaamini alistahili kuwa mmoja wa watunukiwa pia.
Siyo lazima kuzikwa kamanda 😇Hivi mtu wa mwisho kabisa kufa nani atamzika?🥹
![]()
Maana yake nini
Duh...Watu mna siri
👍👍sio kweli. Makahaba wanaliwa kwa sababu wana hisia na wateja wao? Utaniambia wapo kazini lakini mimi nitakuambia huo ni uthibitisho kuwa mwanamke anaweza kuliwa na mwanaume huyu na huku moyo wake unampenda mtu mwingine. Hata mwanamke anaweza kuliwa nje na heshima kwa mumewe ikabaki, ingekuwa ni hivyo basi wanawake wote wanaochepuka wangekuwa wanakamatwa maana hiyo dalili iko wazi. Lakini unaweza kuishi na mwanamke mkazaa watoto wa nne nusu wakawa damu yako nusu wa nje na ukakaa miaka mingi usijue.
Maelezo yote hayo sio kwamba nataka kuonyesha nani fundi wa kuchepuka zaidi ya mwenzie, point yangu ni kwamba kuchepuka ni jambo la kipumbavu haijalishi linatendwa na mwanaume au mwanamke...yeyote anayechepuka anamvunjia heshima mwenza wake period!
Aisee....kuchapiwa!!
Kuchapiwa hakuepukiki jirani....😁😁😁Aisee....kuchapiwa!!
Unataka nikufafanulie? 😁😁😁Maana yake nini
Inaumaaa....Kuchapiwa hakuepukiki jirani....😁😁😁



sponsor kawahakikishia waache papara kila mmoja atapata yake