Aah wapi mimi hawanikuti nyumbani nitakuwa nashinda kariakoo siku zote za sensaKuna muda inabidi kuwa mpole tu, kama sio rizki hauwezi lazimisha...
Tuhesabiwe tu kiroho safi, vinyongo na kuweka vitu moyoni inaumiza.
Aah wapi mimi hawanikuti nyumbani nitakuwa nashinda kariakoo siku zote za sensa
Cha muhimu tu nisikutane na hiyo kitu ya kuitwa sensa[emoji1787]Sasa si unaona inakugharimu kushinda Kariakoo bila ridhaa Yako?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Oyaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Iteni Fire Kuna jambo linaenda kutokea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣
Apo kwanza ngoja ncheke🤣🤣!!! U niuhuni wa kiwango cha lami
Wajihesabu wenyewe[emoji23]Cha muhimu tu nisikutane na hiyo kitu ya kuitwa sensa[emoji1787]