Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,622
HujaelewaHiyo ni booster
HujaelewaHiyo ni booster
Wewe nyongeza ndo 20000 ila mshahara upo palepale ila yeye alikuwa na mategemo makubwa ya hiyo nyongezaHujaelewa
Hii watazimia wengi
Hii watazimia wengi wala sio utani
Usiogope utofauti wako na wengine,jichanganye nao songa mbele
Hahahaha
Kwamba mtumishi wa umma hajui asilimia 23 ya mshahara wake ni sh ngapi?Wewe nyongeza ndo 20000 ila mshahara upo palepale ila yeye alikuwa na mategemo makubwa ya hiyo nyongeza