Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Nani kama mama?
Kweli kabisa[emoji23]Ile siyo Oksijeni kwamba ukikosa utakufa. Ni kujiendekeza tu...
Ukweli mtupuBila hela hata fulati skrini hupati ng'o! [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Mnatusimanga sana sie vibamia lakini hela zetu mnakula
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kweli kabisa[emoji23]
Sizitaki mbichi hizi[emoji41]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Unaijua hii picha au huo msemo umejisemea tu?
View attachment 2299426
Hata siijui hii picha[emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Unaijua hii picha au huo msemo umejisemea tu?
View attachment 2299426
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwamba amekaribiana kimo na kufuliUtakuwa umefurahiii! [emoji51][emoji51][emoji51]
View attachment 2299167
Ukiwa na mawazo hayo,hutopata stress za mapenzi
Nguvu ya mtu haipotei bure.DC...
Ila mimba bwana....
Wanawake huwa wana-sacrifice sana miili yao. Inabidi tuwaheshimu sana na kuwaenzi kwa kweli [emoji1545]
View attachment 2299366
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] jamani