Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

IMG-20220722-WA0064.jpg
 
Niliona video moja watu kama wapo sijui ni club, kuna video kubwa hivi wanaangalia kitu then mjuba ana display kwenye tv the whole crowd inaanza kupiga makelele wanashangilia[emoji16][emoji16] sijui waliedit au vipi ile video ila kama ni kweli basi motoni kutadamshi[emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukikuta huyo jamaa yeye ndo daktari na umempeleka mke wako clinic, geuza mapemaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom