Ubena Zomozi
JF-Expert Member
- Jun 19, 2022
- 1,698
- 1,335
maiti za kihindi
maiti za kihindi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]Baby napenda ukoko[emoji23]View attachment 2296455
Sijuu kwa single mothers, mimi wife nilikuwa namnyoa enzi hizo.
Ngoswe alikuwa anajaribu kula kimasihara.SENSA NA NGOSWE, "Penzi kitovu cha uzembe"
KISA CHA NGONSWE NA SENSA
[emoji1427][emoji1427][emoji1427][emoji1427][emoji1427]
MITOMINGI; nadhani sasa mgeni amekwisha kumaliza kula hebu nenda kaondoe vyombo
MAMA_MAZOEA; Basi fanya haraka (Mazoea anatoka, anaenda kwa Ngoswe alipo).
MAZOEA; Hodi! Hodi!
NGOSWE; Karibu
MAZOEA; (Akiingia). Ahsante. Nimekuja kuchukua vyombo.
NGOSWE; Vyombo! Kaa basi mbona unasimama kama vile hakuna viti.
MAZOEA; Nimeambiwa nifanye haraka.
NGOSWE; Mmm! Haya ngoja ninawe basi (Ngoswe ananawa kwa taratibu jicho likiwa usoni mwa Mazoea ambaye anatazama kando). Hivo mzima wee?
MAZOEA; Bee?
NGOSWE; Salama?
MAZOEA; Salama tu.
NGOSWE; Sasa ndio umekataa kukaa?
MAZOEA; (Ajidai hakusikia) Si umekwisha maliza?
NGOSWE; Bado kidogo.
MAZOEA; Basi nitakuja chukua baadaye. (Ataka kutoka)
NGOSWE; Basi nenda navyo. (Mazoea anarudi kuinama kuvichukua. (Ngoswe kwa sauti ndogo). Hivyo waitwa nani?
MAZOEA; Mie?
NGOSWE; Ndio wewe hapo kisura.
MAZOEA; (anatabasamu huku akiondoka). Mazoea!i
Story ni tamu ila tulishaambiwa ya Ngoswe tumuachie Ngoswe
! ! !
[emoji1482][emoji1482][emoji1482][emoji1482][emoji1482][emoji1482][emoji1482]
JIANDAE KUHESABIWA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mpogoro katoka kwao mahenge huko, kuja dar...
Kurudi ndio anawasimulia wenzie kuwa yeye ni mjanja saanna,
"kondakta kusema, ubungu, ubungu nikabanishi, njwii, mpaka manzese kumkomoa dereva" [emoji23] [emoji1787]
Yaani akimaaisha konda gari ilipofika ubungo akatangaza kituo, yeye hakushuka akabana kwenye gari, kaenda kushukia manzese kwa kumkomoa dereva. [emoji23]
Hahahawatu wa account hii inaitwaje?View attachment 2296653