Mbona hata mfalme zumaridi anakula sadaka, kwani yeye ni mwanaume?Hivi sadaka zinaenda mbinguni, au zinaliwa hapa hapa duniani na wanaume
Hizi hata sisi wahenga tumevaaUnakumbuka nini hapa wale watoto wa 2000'sView attachment 2289903
Utakunja ngumi sana lakini kama wenzako wakialikwa ikulu we haumo kwenye msafara ni kazi bure.View attachment 2291936
Siasa ni usanii, fanya kila kitu kuwaaminisha watu kitu unachokiamini.