Galip Veryl
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 2,147
- 13,463
[emoji2960]
Siyo wote bhana🙄
AiseeJamaa anataka chaja tu basi mengine hayamhusu [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2288956
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ana boost zipate jotoMakete hiyo!View attachment 2290130
🤣🤣🤣Mwizi
Baada ya mwizi kuvunja mlango huko Tarime, akaingia kwenye stoo akaona vinyama kwenye bakuli vikiwa vimekauka.
Akaonja 1 akaona kitamu na kina chumvi!
Akavila vyote. Alipomaliza akaangalia juu ya mlango akaona pameandikwa:
“chumba cha UKEKETAJI WASICHANA”😊
Unaomba kuongozana na mmoja kituoni, unachomoka kirahisi sana...Ulishasikia kuliwa mdondo? Kitakachomuokoa dereva hapa ni muujiza tuu[emoji1]View attachment 2290533
😂😅Inaitwa kutesa kwa zamu!
😂Afu inaelekea wote wako na njaa kali!Ulishasikia kuliwa mdondo? Kitakachomuokoa dereva hapa ni muujiza tuu[emoji1]View attachment 2290533