Boy:- hallow
Dem:- hellow
Boy:- ivi jina lako nani vile
Dem:- am miss precious A. K. A dope girl
Boy:-duh.. Okay, nmekutumia 50,000 nimeona Jina tofauti ngoja kwanza nipige customer care chap!
Dem:-no, no baby usipige, ah ah Hapana baby, Kwa kweli mi naitwa Andongolile Mwakasakafyuko 😂😂😅😅
Swali: Matatizo ni nini?
Jibu: Matatizo ni pale unapomaliza kupewa adhabu Kali na mwanajeshi, anakuruhusu uondoke, unawasha pikipiki, unamtukana tusi baya kabla ya kuondoka mbio, mara ghafla pikipiki inazimika🙄
MKE: Mbona unanukia pafyumu ya kike? MUME: Yaa.. kuna mwanamke tulikuwa tumeminyana ndani ya daladala MKE: Na lipstiki kwenye shati? MUME: Tulikumbatiana na wageni walitembelea ofisi yetu MKE: Na hii kondom iliyotumika kwenye mfuko wa suruali? MUME: Bwana ee.. wacha maswali ya kijinga mi nalala nina usingizi MKE: Lazima niulize mie huwa nahakikisha nimeacha kila kitu hukohuko ndio narudi nyumbani MUME: Umesema nini wewe? MKE: Bwana ee.. wacha maswali ya kijinga mi nalala nina usingizi!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.