Haya naomba wafuato waje hapa mbele watupe majibu sahihi. to yeye mawardat Kelsea Nakadori na Evelyn Salt
Which results?
F6Which results?
mie mwisho f4 B
Mimi pia sijapenda kabisa yani
Nawaona Ellis Redding (Morgan Freeman) Warden Norton (Bob Gunton) na Captain Hardley (Clancy Brown) wahusika kwenye movie ya The Shawshank Redemption. Hapo ni baada ya Andy Dufresne (Tim Robbins) kufanikiwa kutoroka.
Abakundi legendary
Mbona wa kawaida sana, anazidiwa na warembo kibao huko shinyanga
Stress za pesa za michezo,nilishazikataaga
