Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Wanasemaga sijui ukipenda boga sijui upende na nini [emoji16][emoji16]Hapo Mama bwana,sio mtoto jirani.... [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wanasemaga sijui ukipenda boga sijui upende na nini [emoji16][emoji16]Hapo Mama bwana,sio mtoto jirani.... [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Boga na ua lake 😀Wanasemaga sijui ukipenda boga sijui upende na nini [emoji16][emoji16]
If its not trash then it must be a stinking garbage[emoji23]Mshana Jr. This is not trash [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1727][emoji1727][emoji1727][emoji1734][emoji1734][emoji1734]
View attachment 2274438
Nimecheka........jamaa katoa na vifungu kabisa 🤣Mbuzi wa Vatican City aka Kitimoto [emoji91][emoji91][emoji91][emoji39][emoji39][emoji39]
View attachment 2274430
[emoji23]Nyoka za kinyakyusa[emoji16]View attachment 2273127
Wanyaki mmezidi kufungasha. Unakuta kimodo lakini mkia sasa dah! Akina nkamu mmebarikiwa sana kwa kweli![emoji23]
Hakuna tena kutumia viberenge na makarandinga. Mudi inabidi ajipange [emoji16][emoji16]If its not trash then it must be a stinking garbage[emoji23]
Biashara ubunifu. Mi nitakwenda kula kwake tu kwa ajili ya hili bango. Very creative yaani [emoji16][emoji16][emoji16]Nimecheka........jamaa katoa na vifungu kabisa [emoji1787]
Kiasi 😉Wanyaki mmezidi kufungasha. Unakuta kimodo lakini mkia sasa dah! Akina nkamu mmebarikiwa sana kwa kweli!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Acheni mmakonde alambe mzigo bwana [emoji16][emoji16]Wasia wa wosia.[emoji23] gazeti
Mdogo wangu Hujambo..!?
Nimesikia leo umeamka Vema kabisa Mdogo wangu..!
KUNA SAFARI NA GAZETI..! Leo wacha nikuambie Kuhusu GAZETI najua unajua kwamba Bibi zetu kule wanaita GARAZETI lakini yoote maana yake moja tu isikuchanganye
Kuna kijana anaitwa joseph kayombo]] alinigusia Ununuzi wa MAGAZETI kwa siri sana Mdogo wangu KONDEBOY] nakusema kwamba niliwai kutamka kwenye Waraka wa NABIIMSWAHILI ibara ya 10 Kwamba
" UKIOA MWANAMKE ALIEKUZIDI UMRI NI SAWA SAWA NA KUNUNUA GAZETI JIONI"
sasa zipo Waraka nyingi za @nabiimswahili zinaweza kunukuliwa tofauti
Mimi nikutie nguvu na moyo [emoji3590] katika safari yako ya mapenzi na umedhihirisha kwenye Umma kwamba upo na huyo nikwambie hapa kuwa nae tu huyo ndio umemchagua ni wako Kula unachopenda usile UNACHOKUTA
Kila la Kheri mdogo wangu achana na hao watani wetu joseph kayombo]]
...!
KONDEBOY] joseph kayombo]] @nabiimswahiliView attachment 2274417