Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

255624800868_status_23128e7feca94644a84fcbc4d0f257e7.jpg
 
Wasia wa wosia. gazeti

Mdogo wangu Hujambo..!?

Nimesikia leo umeamka Vema kabisa Mdogo wangu..!

KUNA SAFARI NA GAZETI..! Leo wacha nikuambie Kuhusu GAZETI najua unajua kwamba Bibi zetu kule wanaita GARAZETI lakini yoote maana yake moja tu isikuchanganye

Kuna kijana anaitwa joseph kayombo]] alinigusia Ununuzi wa MAGAZETI kwa siri sana Mdogo wangu KONDEBOY] nakusema kwamba niliwai kutamka kwenye Waraka wa NABIIMSWAHILI ibara ya 10 Kwamba

" UKIOA MWANAMKE ALIEKUZIDI UMRI NI SAWA SAWA NA KUNUNUA GAZETI JIONI"

sasa zipo Waraka nyingi za @nabiimswahili zinaweza kunukuliwa tofauti

Mimi nikutie nguvu na moyo katika safari yako ya mapenzi na umedhihirisha kwenye Umma kwamba upo na huyo nikwambie hapa kuwa nae tu huyo ndio umemchagua ni wako Kula unachopenda usile UNACHOKUTA

Kila la Kheri mdogo wangu achana na hao watani wetu joseph kayombo]]

...!

KONDEBOY] joseph kayombo]] @nabiimswahili
FB_IMG_1656337644993.jpg
 
Back
Top Bottom