Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,378
Aisee....Ukiangalia Hapo Utofauti Wa Miaka Hapo Kajala Anamzidi Harmonize Zaidi Ya Miaka 14,
Na Mwanamke Akikuzidi Miaka 14, unakuwa Kama Mwanae Kwake Uwezo Wa Kukuzaa anao Sababu Mtoto Wakike Kama Atawahi sana Anaweza kuzaa kuanzia Miaka 13, 14, 15 na Kuendelea ..
.
Lakini yote kwa yote mapenzi hayachagui Umri Wanasemaga Umri ni Namba tu Ng'ombe Hazeheki MainiView attachment 2273832
Aisee.....Wanasema mapenzi hayana mwenyewe,
Kumbe konde ni mtoto tu![]()
Duh!!!Mwakaleli kuna vituko dah!
View attachment 2273955
Hii Sasa ndio maana hasaa,ya kula kuku Kwa mrija😂😂