Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Ukiangalia Hapo Utofauti Wa Miaka Hapo Kajala Anamzidi Harmonize Zaidi Ya Miaka 14,

Na Mwanamke Akikuzidi Miaka 14, unakuwa Kama Mwanae Kwake Uwezo Wa Kukuzaa anao Sababu Mtoto Wakike Kama Atawahi sana Anaweza kuzaa kuanzia Miaka 13, 14, 15 na Kuendelea ..
.
Lakini yote kwa yote mapenzi hayachagui Umri Wanasemaga Umri ni Namba tu Ng'ombe Hazeheki Maini
FB_IMG_1656290839804.jpg
 
Ukiangalia Hapo Utofauti Wa Miaka Hapo Kajala Anamzidi Harmonize Zaidi Ya Miaka 14,

Na Mwanamke Akikuzidi Miaka 14, unakuwa Kama Mwanae Kwake Uwezo Wa Kukuzaa anao Sababu Mtoto Wakike Kama Atawahi sana Anaweza kuzaa kuanzia Miaka 13, 14, 15 na Kuendelea ..
.
Lakini yote kwa yote mapenzi hayachagui Umri Wanasemaga Umri ni Namba tu Ng'ombe Hazeheki MainiView attachment 2273832
Kumbe dogo hakukosea kumla Paula, ndiye mzao wake na kuna siku atakuja kupasha kiporo
 
Ukiangalia Hapo Utofauti Wa Miaka Hapo Kajala Anamzidi Harmonize Zaidi Ya Miaka 14,

Na Mwanamke Akikuzidi Miaka 14, unakuwa Kama Mwanae Kwake Uwezo Wa Kukuzaa anao Sababu Mtoto Wakike Kama Atawahi sana Anaweza kuzaa kuanzia Miaka 13, 14, 15 na Kuendelea ..
.
Lakini yote kwa yote mapenzi hayachagui Umri Wanasemaga Umri ni Namba tu Ng'ombe Hazeheki MainiView attachment 2273832
Wanasema mapenzi hayana mwenyewe,

Kumbe konde ni mtoto tu
 
Back
Top Bottom