Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,127
- 829,013
- Thread starter
- #115,181
Unaweza kuwa na nia nzuri tu, Wataka kuoa.......ila ukishakumbuka kuwa utalaumiwa kwa kufanya mema na utalaumiwa tena kwa kufanya mabaya!!
Unabeba Whiskey yako unaachana na mawazo ya ajabu "kuoa" !!😎
NB: Bandiko halinihusu!!
View attachment 2271573


