Kama hawajaumwa shida iko wapi?#HABARI Polisi nchini Kenya wamemkamata mwanaume mmoja Ndirangu Wahome katika kaunti ya Nyandarua kwa tuhuma za kuwauzia watu sambusa za nyama ya mbwa bila wao kujua
Wananchi wa eneo hilo wanasema kwa muda mrefu wamekuwa wakila vitafunwa hivyo wanavyodai vilikuwa vitamu na ladha tofauti bila kujua kuwa ndani yake sio nyama ya kawaida inayotumikaView attachment 2254493


Nimekuona unanisema sana kila mahali mi nimekunyamazia tu. Inaonekana uliumia sana uliposhindwa kumpata mjukuu wangu. Ukome!Babu yake mtu nimekutafuta sana bila mafanikio, kumbe umechange jina!Shikamoo!
Bigger indeed🤣🤣