Huu ujinga sana, CCM inatakiwa watengeneze utaratibu wa kufanya recruitment ya wagombea wao,siyo hawa wanafanya vituko vituko visivyo na tija
Vijana mpoooooooooo!!!!?

Saizi hata ule ugomvi naanzishaga club,itabidi nisitishe,maana unaweza kuta jitu lina kitambi limetulia zake
Anaonekana ni mwana mazoezi mzuri
Hatari 🤣🤣🤣 na anaziweza..
😂 😂 😂A good wife doesn't wear pants at home bcz of emergencies![]()
Serious sijajua ni kitu gani hiko
Kuanzia Sasa nikitongoza demu akaniambia, anaitwa Ashura,





