Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

FB_IMG_1652924319677.jpg
 
"Nahisi kwa kizazi chetu cha Social media ni muhimu Wazazi na walezi kuwakumbusha vijana wao, it is okay kuchelewa kupata vitu flani, it is okay to struggle sometimes, it takes time to built up something, vipaumbele vinatofautiana.
Vijana comparisons zinawavuruga afya za akili"

From Twitter
Na znatuvuruga hasa we unakuta jamaa ako mlomaliza wote shule anamiliki ndinga kali, ana duka na miradi kadhaa inayomuingizia pesa ya maana afu we ukijiangalia hujui hata kesho kutakucha vp
 
Back
Top Bottom