Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 119,056
- 141,855
Japo maisha siyo kutesa kila siku ila pesa ndiyo kila kitu...Mtoto mdogo anapenda penda hela hivo 🤣🤣🤣
Wewe hupendi pesa...
Japo maisha siyo kutesa kila siku ila pesa ndiyo kila kitu...Mtoto mdogo anapenda penda hela hivo 🤣🤣🤣
Kwa kweli… ila mtoto mdogo yule pesa za nii?Japo maisha siyo kutesa kila siku ila pesa ndiyo kila kitu...
Wewe hupendi pesa...
Majukumu ya kumnunulia baba mwenye nyumba wako maua...Kwa kweli… ila mtoto mdogo yule pesa za nii?
Me napenda maana ni mkubwa, nina majukumu
Mbona faza house? Hayakuwa yake bana, ni yanguu mwenyewe.Majukumu ya kumnunulia baba mwenye nyumba wako maua...
Hahaha... Aisee umenichekesha sana...
Mkuu hii ni ajali au gari limewekwa tu
Njoo ufuate...Mbona faza house? Hayakuwa yake bana, ni yanguu mwenyewe.
Nilipe 😂😂
Ukute ni wa Waziri wa Maji
Wazazi sasa wanawageuza watoto kitega uchumi😲😲😲😲
Duuh huyu ukikutana naye usiku na asubuhi ni watu wawili tofauti