carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,579
- 285,646
Kifaa kizuri cha kumtandikia mwanamke kama we shem hakipo hapo! [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
[emoji23][emoji23]shem hebu niache
Kifaa kizuri cha kumtandikia mwanamke kama we shem hakipo hapo! [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Hapana!Mkuu na wewe kumbe ni timu Kiranga
Siku hizi sijui nimekuwaje yaani. Injini labda iko oooooon! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]shem hebu niache
Siku hizi sijui nimekuwaje yaani. Injini labda iko oooooon! [emoji16][emoji16][emoji16]
Nisamehe shem. Ai emu soreeee!
[emoji3591][emoji3591][emoji3591]Kwema lakini huko kwako? Mnaendeleaje? Wazee wangu?
Yeah!Injini iko tokotoko[emoji23][emoji23]
Kwema shem,sijui huko
Sisi hatujambo
😂😂😂😂 subiri utaona nakwambia
Unaniambia nini tena.... hehehe😂😂😂😂 subiri utaona nakwambia
HahahaaaUnaniambia nini tena.... hehehe
Unajua vile late night talk zilivyo poa...Hahahaaa
😋🤸♂️🤸♂️ zinafaa sana kuibia hela za vocha na usipelekwe kwa Mabantu.Unajua vile late night talk zilivyo poa...
Alafu kesho unanisimanga nimekukeshesha...
Sauti kama mtoto mchanga... Kusudi sana aisee...😋🤸♂️🤸♂️ zinafaa sana kuibia hela za vocha na usipelekwe kwa Mabantu.
Flight mode on! 🤣🤣