Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,378



Mbowe ameiva kisiasa. Nimeipenda sana hotuba yake ya leo hasa kuhusu wanachama wa vyama pinzani kuheshimiana....



Yaani sijui kwa nini hakupulu ze triga. Jamaa linaudhi kama nini. Matusi. Dharau. Ujinga...na aliyeliteua yupo tu bize na Peter wake



