Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
[emoji16][emoji16] naomba na Mimi niwe dada Yako wa hiari jamani [emoji2094]Narudia tena: siyo kwa pisi unayoikubali. Full stop!
Na tangu lini nimekuwa bro wako? Unafikiri mi dada zangu siwajui? [emoji51][emoji51][emoji51][emoji16][emoji16]
[emoji16][emoji16]Mbona naye kama ametakata dizaini Fulani hivi [emoji16][emoji2957]
Mie sijui kitu, nimepost tu [emoji2]Kina Irene hawana hizo tabia labda useme kina bebi na chausiku
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa nini tuzibiane kupeana utamu bwana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16] hii kama siafu ni kiboko... Nimecheka
Hiyo ndio kitu inatakiwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]loooh sijui hataHiyo ndio kitu inatakiwa.
Sio kilasiku kifo cha mende, mpaka lini?
Kuna
-mbwa kachoka,
-mgeni nani,
-chomoa nijambe,
......na wewe ongeza za kwako....
....anakuwa na mpango wa kufanya mapinduzi ya kijeshi!Anakupa mpaka vitu adimu wallahi[emoji39]