Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Unamezea kiaina tuKukataliwa kunauma - hasa kama pisi umeielewa kiaina...[emoji16][emoji16][emoji16]
Siku kuu inaanza leo bwanaNitakujaaa, sikukuu si bado?. Ikifika we nishtue tu.
Siyo kwa pisi ambayo unaikubali aisee....halafu uone inapigwa na masela wa kawaida tu mtaani dah!Unamezea kiaina tu
Selfika hata hapa mzabzab ajiandae na sikukuu vizuri [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23] au kwasbb sijawahi kuselfika kule
Hahahah mbona unaiwahisha hivyo?Siku kuu inaanza leo bwana
Unatafuta pisi ingine bro.Siyo kwa pisi ambayo unaikubali aisee....halafu uone inapigwa na masela wa kawaida tu mtaani dah!
[emoji16][emoji16] huku siyo sehemu yake. Hapa tuwekeeni vituko tucheke basiSelfika hata hapa mzabzab ajiandae na sikukuu vizuri [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23] kuuana huko
Narudia tena: siyo kwa pisi unayoikubali. Full stop!Unatafuta pisi ingine bro.