Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Sasa sii mnasema sie hatuna hela na tuna vibamia[emoji23][emoji23][emoji23] si tulikubaliana akina nyie ndio mnafaa??
Matusi ganiMatusi yashakukomaza tayari,pole
Hayo sio maneno yanguSasa sii mnasema sie hatuna hela na tuna vibamia
Haya njoo basii wikend tumalize pamojaHayo sio maneno yangu
[emoji106]Haya njoo basii wikend tumalize pamoja
Hii nchi ngumu sana, watu wapo serikali miaka na miaka tena wameshika nyadhifa kubwa kubwa, wame accumulate wealth vya kutosha, families zao zimepewa vipaumbele kibao lakini still wanaomba walipwe tena na tena,hivi hawaoni hata aibu[emoji16][emoji16]Lengo lao kufilisi nchi
Nimeona hii picha mpaka mwili umesisimka, aiseee nisipokuwa makini ntachomwa sana[emoji16][emoji16]
Muone! [emoji51][emoji51][emoji51][emoji106]
[emoji23][emoji23][emoji23] nimefanyaje ?Muone! [emoji51][emoji51][emoji51]