James Hadley Chase
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 2,101
- 3,866
Namba 4
Siyo hilo tu. Hata ndoa zao. Simple sana. Na mwisho wa yote ni mazishi yao. Hakuna mbwembwe za majeneza, mashada ya maua, sare na upuuzi mwingine. Unakata pumzi leo unazikwa leo hii hii. Safi sana yaani!


