Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

One day nilifua nguo za shule usiku ndio nikiamka ziwe zimekauka. Bwana we!! Saa ngapi mbwa hajabembea nazo? Asubuhi naamka nakuta ziko chini zimechafuka kuliko zilivyokuwa kabla ya kuzifua. Hapo nimelala mpaka 0615hrs. Nikasema fresh tu, wacha nipambanie kombe kibingwa.

Nikachoka maji nikafua tena kilejendari yani. Nilizifua saa 0620hrs halafu saa 0630 nikawasha pasi nikazingoosha. Kukauka zilikauka ndio lakini alikuwepo afisa kipenyo akiwatch mchezo mzima. Kumbe maskini pasi iliona shida yote hii ya nini kuamshwa asubuhi asubuhi na baridi kali? Ikajifia.

Nadhani wahenga mnajua kifinyo chake baada ya kuulizwa na kuruka mita 100.
 
IMG-20220331-WA0142.jpg
 
Back
Top Bottom