Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Kafinyiwa kwa ndani mara moja tu huyoo kaenda kujichora tattoo. Kesho na keshokutwa akipigwa chini sijui itakuwaje!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo n me kabsa, yan me hata kama imebaki dk moja nitalala hyo dk moja [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
True[emoji23][emoji23][emoji23],utasikia mie sitaki mwanaume wa kunichezea tu[emoji23][emoji23][emoji23]Singo mazazi ni wapambanaji kweli kweli! They have to fight for their kids. Heshima kwenu singomazazi [emoji122][emoji122][emoji122]
View attachment 2168740
Mmmmm[emoji23][emoji23][emoji23]haya bwana